16/10/2026
🎉 ALISHINDA, NA LEO AMEPOKEA ZAWADI YAKE!
Kutoka kwenye simu ya kumjulisha ushindi hadi kukabidhiwa Smart TV yake ya inchi 55! 😍
Hongera tena kwa mshindi wetu wa kwanza wa kampeni ya Bridgestone! Tunafurahi kuona furaha yake na kusikia uzoefu wake baada ya kujishindia zawadi hii.
Na wewe bado una nafasi! 🔥
🚗 Nunua matairi 2 ya Bridgestone, pata punguzo la papo hapo la TZS 50,000 na uingie kwenye droo ya kujishindia zawadi mbalimbali.
🎁 Mshindi mpya kila baada ya wiki mbili!
Tembelea AutoXpress Tanzania leo. Huenda mshindi anayefuata ukawa wewe!