04/10/2026
Oil fake/copy zimekuwa nyingi sana sokoni kuna muda unaweza tumia oil isiyosahii bila hata wewe kujua.
Hivyo basi endapo itatokea umekumbana na changamoto hii nashauri kabla ya kufanya service mpya basi tumia engine flush kusafisha uchafu wote.
Karibuni sana DAS SPARE,kwa spare parts na ushauri wa kitaalam