05/10/2026
Gari lilifika Uptown Customz likiwa limeharibika na kuhitaji kazi kubwa ya body, paint na finishing.
Tumeweka umakini kwenye kila detail mpaka likarudi kwenye mwonekano safi, glossy na wa kuvutia. β¨
Uptown Customz β Tunarekebisha. Tunaboresha. Tunabadilisha.
π :MIKOCHENI WARIOBA
π:0712 202 969
Lete gari lako, sisi tunalirudisha kwenye ubora unaostahili.
BeforeAndAfter AutoBody TanzaniaCars