27/10/2026
Usisubiri mpaka pikipiki au bajaji yako isimame ndipo ukumbuke service.
Angalia rekodi ya matengenezo na fuata ratiba rasmi inayopendekezwa kwa modeli na matumizi yako. Vituo vya huduma vinapatikana Gerezani–Kariakoo, Gongo la Mboto, Mbezi na Mbagala.